16 Feb 2026 7:42 pm | Citizen TV 100 views Mahakama ya Nakuru itatoa uamuzi kuhusu iwapo maafisa sita wa shirika la huduma za wanyamapori wanaodaiwa kuhusika na kutoweka kwa mvuvi Brian Odhiambo, wana kesi ya kujibu au la, tarehe 3 Machi mwaka huu