Skip to main content
Skip to main content

Kesi ya Ugaidi: Mhadhiri wa UDOM Melkisedek Kaijage aachiwa huru

  • | BBC Swahili
    28,268 views
    Duration: 1:18
    Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Melkisedek Kaijage, ameachiwa huru baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kufuta mashtaka ya ugaidi na uhujumu uchumi yaliyokuwa yakimkabili. Kaijage alikamatwa Julai 8, 2026, kwa tuhuma za kuhamasisha maandamano ya Saba Saba na kupanga kuchoma majengo ya serikali. #bbcswahili #tanzania #udom Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw