Wafanyabiashara na wakazi wa Githunguri mjini, Kaunti ya Kiambu, wameanza kusafisha mitaro na mifereji ya maji iliyojaa udongo na taka, wakijiandaa kukabiliana na mafuriko yanayoweza kusababishwa na mvua kubwa zinazotarajiwa.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya