Skip to main content
Skip to main content

Kidum: Mwanamuziki asiyechuja Afrika Mashariki

  • | BBC Swahili
    3,376 views
    Duration: 22:39
    Kwa zaidi ya miongo miwili, Mwanamziki Jean-Pierre Nimbona Maarufu kwa jina Kidum amebaki kuwa mmoja wa wanamuziki wanaoheshimika zaidi katika ukanda wa Afrika Mashariki. Lakini ni nini kimemwezesha kuendelea kuwa na ushawishi mkubwa katika tasnia ya muziki? Phillys Mwatee alizungumza na Kidum kuhusu siri ya kudumu kwake kileleni, pamoja na imani yake katika ubinadamu,na wema kwa wengine. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw