- 2,036 viewsDuration: 2:57Mtu mmoja alifariki kufuatia machafuko yaliyoshuhudiwa wakati wa mkutano wa kisiasa ulioongozwa na mrengo wa Edwin sifuna eneo la Kitengela kaunti ya Kajiado hapo jana. Mwili wa Vincent Oyaro aliyeuawa kwa kupigwa risasi na polisi alipelekwa katika makafani ya city saa nne jana usiku, zaidi ya saa tano baada ya kufariki.