Skip to main content
Skip to main content

Kifo tata cha mwanafunzi shule ya msingi ya Moi Nakuru

  • | Citizen TV
    4,076 views
    Duration: 3:06
    Kizaazaa kimeshuhudiwa leo katika shule ya msingi ya moi jijini Nakuru kufuatia kifo cha ghafla cha mwanafunzi wa gredi ya 8. Maswali yameibuka kuhusu kifo cha Moses Joseph, aliyeripotiwa kuaga dunia alipohamishwa kutoka shuleni hadi hospitalini.