Skip to main content
Skip to main content

Kijana auliwa na wengine sita kujeruhiwa katika shambulio la mapanga

  • | Citizen TV
    3,247 views
    Duration: 3:02
    Hofu imegubika vijiji vya kaunti ya Lamu kufuatia kuchipuka kwa magenge ya vijana wanaoshambulia watu kwa mapanga. Kisa cha hivi punde kikisababisha kuuawa kwa kijana mmoja huku wengine sita wakiendelea kuuguza majeraha baada ya kushambuliana kwa mapanga katika kisiwa cha Amu. Visa hivi vikiripotiwa katika muda wa wiki moja iliyopita