Mwanafunzi mmoja wa kigheni kutoka China amekutwa hai akiwa akiwa kwenye baridi nchini Marekani baada ya wazazi wake kudanganywa na kutoa maelfu ya dola katika kashfa ya "utekaji nyara mtandaoni".
Kai Zhuang aligunduliwa "akiwa na baridi sana na mwenye hofu" katika hema moja katika kijiji cha Utah, kwa mujibu wa polisi.
Kijana huyo mwenye umri wa miaka 17 anaaminika alijitenga baada ya kudanganywa na watekaji.
Ni mmoja wa wanafunzi wa kigeni waliolengwa na wale wanaoitwa watekaji nyara wa mtandaoni nchini Marekani hivi karibuni.
#bbcswahili #marekani #china
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
18 Aug 2025
- Health Cabinet Secretary (CS) Aden Duale has announced plans to set up a joint committee with the CEOs of insurance companies across the country to tackle fraudulent activities that have been plaguing the Social Health Authority (SHA).
18 Aug 2025
- President William Ruto has vowed to ensure that Members of Parliament and Senators behind an extortion scheme called soko huru are apprehended.
18 Aug 2025
- The death toll from a blast at a gunpowder plant near Moscow rose to 20, with more than 100 wounded, the authorities said on Monday, as a probe began into possible industrial safety violations.