Kijiji cha Lumsh kaunti ya Lamu chaadhirika na mafuriko ya wiki kadhaa

  • | Citizen TV
    394 views

    Wakaazi wa kijiji cha Lumsh kaunti ya Lamu wanatatizika kutekeleza majukumu yao kwani hawawezi kusafiri kutokana na mafuriko. Wakaazi hao wanatatizika kupata huduma muhimu ikiwemo usafirishaji wa chakula. Rahma Rashid anaarifu.