Skip to main content
Skip to main content

Kijiji cha Thayo kinaomboleza vifo vya ajali Kariandusi

  • | Citizen TV
    732 views
    Duration: 2:38
    Kijiji cha Thayo eneobunge la Bahati kaunti ya Nakuru kimeendelea kuomboleza vifo vya watu watatu walioangamia kwenye ajali ya barabarani eneo la kariandusi Ijumaa usiku. Kijiji hiki kinaomboleza huku idadi ya waliofariki kwenye ajali hiyo ikifikia watu 11 baada ya mtu mmoja aliyekuwa hospitalini kuaga dunia.