- 1,481 viewsDuration: 4:03Kijiji cha Tswaka kaunti ya Kwale kuna mapango matatu ambayo ni makao ya zaidi ya aina kumi na tatu za popo wakiwemo popo weupe, kivutio ambacho pengine wananchi hawafahamu lakini eneo lenye maelfu ya popo ambalo limevutio watalii, wanafunzi na wanasayansi wanaofanya tafiti mabalimbali.