Kikao cha kukusanya maoni ya kuufanya mji wa Eldoret kuwa miongoni mwa majiji 5 humu nchini

  • | KTN News
    316 views

    Kikao cha kukusanya maoni ya kuufanya mji wa Eldoret kuwa miongoni mwa majiji 5 humu nchini kilikamilika rasmi hii leo huku gavana wa kaunti ya Uasin Gishu Jonathan Chelilim Bii na  spika wa bunge la uasin Gishu Philip Muigei, wakiwaongoza wawakilishi wadi ili kuupigia debe mji wa Eldoret kutokana na viwango  vilivyoafikiwa.

    Join this channel to get access to perks: https://www.youtube.com/channel/UCKVsdeoHExltrWMuK0hOWmg/join

    Watch KTN Live https://www.standardmedia.co.ke/ktnnews/ Watch KTN News https://www.standardmedia.co.ke/ktnnews/ Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews