Skip to main content
Skip to main content

Kikao cha seneti kimeandaliwa kaunti ya Busia kuhamasisha wakaazi

  • | Citizen TV
    563 views
    Duration: 1:43
    Spika wa bunge la seneti Amason Kingi amewataka wakazi wa kaunti ya Busia kujitokeza kwa wingi katika nafasi nadra ya vikao vinavyoendelea vya ujio wa seneti mashinani ili kujihusisha na jinsi bunge la seneti linavyofanya kazi..