- 55 viewsDuration: 3:00Mara nyingi, kilimo ni shughuli ambayo imehusishwa zaidi na wanaume. Lakini katika Kaunti ya Murang’a, kuna mabadiliko, ambapo wanawake vijana wanajihusisha na kilimo wakigeuza ardhi kuwa kitega uchumi chao. wanawake hawa wamejitosa katika kilimo biashara, wakisema ni fursa yenye manufaa makubwa.