Skip to main content
Skip to main content

Kilifi: Wanafunzi wa Gongoni wafunzwa kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi

  • | NTV Video
    272 views
    Duration: 2:48
    Mabadiliko ya tabianchi yanaendelea kuwa tishio kubwa duniani. Shule ya Mseto ya Gongoni, Kaunti ya Kilifi, imechukua tahadhari mapema kwa kuanza kuwafunza wanafunzi jinsi ya kukabiliana na athari za mabadiliko hayo wangali wachanga. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya