Kilifi yashirikiana na wakfu wa M-Pesa na AMREF kuboresha huduma za afya

  • | Citizen TV
    157 views

    Ni afueni kwa akina mama wajawazito kutoka kijiji cha Ngomeni, eneo la Junju kaunti ya Kilifi baada ya uzinduzi wa wodi ya wanawake katika zahanati ya Junju.