Kilimo Biashara | Maonyesho ya kilimo Nairobi

  • | Citizen TV
    416 views

    Maonyesho ya Kimataifa ya Kilimo ya Nairobi yalikuwa kivutio wiki hapa Nairobi, yakiwavutia wageni kujionea ubunifu katika fani ya kilimo. Kuanzia teknolojia bora za kilimo hadi mbegu zinazostahimili ukame, maonyesho haya yalifana kwa maelfu ya waliohudhuria