Kilimo Biashara | Mbinu za kuzalisha mihongo kwa kutumia teknolojia ya kisasa

  • | Citizen TV
    310 views

    Wiki iliyopita, Kenya iliandaa Kongamano la Kitaifa la Muhogo ambalo lilikuwa mkutano wa kwanza kujadili jinsi ya kuimarisha uzalishaji wa mmea huo nchini. Wabunifu na wakulima zaidi ya 150 walihudhuria mkutano huo, huku wageni wakijionea teknolojia mpya za kukuza mmea wa muhogo na njia mbalimbali za kuongeza thamani. Mengi zaidi ni katika makala ya Kilimo Biashara