| KILIMO BIASHARA | Mfugaji Machakos atia fora kupitia kondoo wa dorper

  • | Citizen TV
    588 views

    Mkulima mmoja amegeuza ardhi kame kuwa kitovu cha uzalishaji wa mifugo katika eneo la Matungulu, Katikati ya Kaunti ya Machakos. Bernard Wagitu, ambaye ni mfugaji wa kondoo aina ya Dorper amedhihirisha kuwa aina bora ya mifugo, na utumizi wa mbinu endelevu na ubunifu kwenye ufugaji huleta mafanikio hata katika mazingira magumu zaidi. Denis Otieno na mengi zaidi kwenye makala ya wiki hii ya Kilimo Biashara.