- 121 viewsDuration: 3:15Wakulima wa mahindi wanashirikiana na watafiti kujadili mustakabali wa kilimo cha mahindi nchini. Wataalamu wanahimiza matumizi ya mahindi yaliyobadilishwa vinasaba kama suluhisho la hasara inayotokana na mabadiliko ya hali ya anga na wadudu waharibifu. Denis Otieno alizuru kaunti ya Trans Nzoia na kuzumgumza na wakulima wadogo kuhusu kilimo cha mahindi yaliyoboreshwa. Haya yote ni katika makala ya leo ya Kilimo Biashara.