Kilimo Biashara | Wakulima sasa wazidisha Kilimo cha Pamba ya BT

  • | Citizen TV
    248 views

    Ufunguzi wa viwanda vya kusafisha pamba vilivyokuwa vimefungwa kaunti ya Lamu unaonekana kufufua kilimo cha pamba katika kaunti hiyo. Wakulima wa Lamu sasa wameshabikia kilimo cha pamba iliyoboreshwa ya BT, ambayo inaongeza mazao na mapato yao.