Skip to main content
Skip to main content

Kilimo biashara | Wakulima wahimizwa kulima zao la mnavunavu

  • | Citizen TV
    252 views
    Duration: 3:35
    Juhudi za kuendeleza kilimo cha kisasa nchini zimesababisha shinikizo jipya la kuongeza thamani kwenye mazao ambayo kwa muda mrefu yamekuwa yakipuuzwa. Wataalamu sasa wanawahimiza wakulima kuendeleza kilimo cha mazao ambazo manufaa yake bado hayajatiliwa maanani kwa kiwango kinachostahili. Moja wapo ya mazao hayo ni mnavunavu au Cape gooseberries ambayo yanaweza kutumiwa kama chakula na pia kutoa fursa ya biashara yenye thamani zaidi