| KILIMO BIASHARA | Watawa waendeleza kilimo katika shamba la Rieti, Bondo

  • | Citizen TV
    289 views

    Katika eneo la Bondo, Kaunti ya Siaya, watawa wa kikatoliki wanaendesha kilimo katika shamba la ekari ishirini. watawa hao wanakuza mboga na matunda kando na kufanya ufugaji wa ng'ombe na nguruwe. Denis Otieno anaangazia juhudi za watawa hao kwenye Makala ya wiki hii ya Kilimo Biashara.