Skip to main content
Skip to main content

Kilimo cha Pilipili Mboga enye rangi tofauti chanoga Nairobi

  • | Citizen TV
    807 views
    Duration: 3:08
    Katika viunga vya Kaunti ya Nairobi, wakulima wamechangamkia kilimo cha pilipili mboga zenye rangi tofauti tofauti, ambazo zinakuzwa ndani ya vivungulio. Ni kilimo ambacho kinabadilisha ardhi kame kuwa yenye manufaa kupitia miradi ya kilimo biashara ambayo inawapa wakulima faida tele