Skip to main content
Skip to main content

Kilimo ni nguzo kuu ya uchumi na maendeleo barani Afrika

  • | KBC Video
    27 views
    Duration: 10:53
    Sekta ya kilimo inasalia kuwa miongoni mwa nguzo kuu zinazochochea uchumi na maendeleo, si Kenya pekee bali pia katika nchi nyingi barani Afrika, hali inayowafanya vijana wengi kutafuta maarifa na ujuzi wa kisasa ili kuiboresha na kuifanya iwe endelevu zaidi. Katika juhudi za kuendeleza sekta hiyo, mwanafunzi mmoja kutoka Kenya amepata fursa ya kujifunza ujuzi wa kisasa wa kilimo nchini China kupitia mchanganyiko wa masomo ya nadharia na mafunzo ya vitendo, akilenga kuongeza maarifa na uzoefu wa moja kwa moja katika kilimo.Hii hapa safari yake Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #Kenya #News