Kilio cha Raia wa DRC kwa Rais Tshisekedi

  • | VOA Swahili
    1,169 views
    Mji wa Sake uliopo kilometa zaidi ya ishirini magharibi mwa Mji wa Goma katika kata ya Kayutsa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, ambako bomu lililofyatuliwa na M23 lilimuua msichana mmoja na kubomoa Nyumba. Mwandishi wetu wa DRC Austere Malivika anazungumza na mkazi wa Kayutsa Luanda Bukuya ambaye pia ni Mkuu wa Kata ya Kayutsa, ambaye anaiwakilisha serikali ya mtaa katika eneo hilo anaeleza kilio cha wananchi kwa Rais Felix Tshisekedi. Endelea kusikiliza... #goma #kivukaskazini #jimbo #waasi #m23 #raia #makombora #sake #gavana #cirimwani #mejajenerali #voa #voaswahili #luandabukuya #austeremalivika #kata #kayutsa