Kimani Kuria: Kuondolewa kwa ushuru wa magari kutasababisha nakisi ya Ksh.58B katika bajeti ya Taifa

  • | KBC Video
    44 views

    Mwenyekiti wa kamati ya fedha katika bunge la kitaifa, Kimani Kuria amesema kuondolewa kwa ushuru wa magari katika mswada wa fedha wa mwaka-2024 kutasababisha nakisi ya shilingi bilioni-58 katika bajeti ya taifa. Kuria alidokeza hayo wakati wa kikao cha kunakili maoni ya umma kuhusu mswada wa fedha ambapo aliwahimiza wanaopinga ushuru wa magari kupendekeza njia mbadala ya kujaza pengo kwenye bajeti kuhakikisha hakuna anayepoteza.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive