Skip to main content
Skip to main content

Kimondo chanaswa angani kwenye kamera

  • | BBC Swahili
    11,141 views
    Duration: 36s
    Tazama kimondo kilivyopita kwa kasi kupita kiwango cha kasi ambayo sauti husafiri. Kimondo hiki kimpita juu ya majimbo ya Pennsylvania na Ohio nchini Marekani . Mamlaka ya hali ya hewa na NASA zote zilithibitisha kuwa kimondo hiko kilianguka kaskazini mashariki mwa Ohio karibu na Cleveland ambapo watu waliripoti kusikia mlipuko mkubwa #bbcswahili #marekani #haliyahewa Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw