Kina mama 40 kutoka Mt. Elgone waasi ukeketaji

  • | Citizen TV
    148 views

    Kina Mama 40 Waliokuwa Wanajihusisha Na Ukeketaji Kutoka Eneo Bunge La Mlima Elgon Kaunti Ya Bungoma Wamejitangaza Kuasi Hulka Hiyo Kwa Kusalimisha Vifaa Walivyokuwa Wanatumia Huku Wakitaka Kuanzishiwa Miradi Mbadala Kuwawezesha Kujikimu Kimaisha.