Kina mama kutoka Pokot, Turkana, na Elgeyo marakwet wakutana Eldoret

  • | Citizen TV
    550 views

    Wanawake hao wanatafuta mbinu za kumaliza mauaji ya kiholela Wizi wa mifugo umesababisha mauaji eneo la Bonde la Ufa