Utalii kupitia Michezo

  • | Citizen TV
    421 views

    Watalii 15 kutoka taifa la australia walikuwa miongoni mwa waendeshaji baiskeli na wakwea milima 76 walioshiriki mkondo wa pili wa magical kenya trail series – magharibi trails, ulioandaliwa katika kaunti tano za eneo la magharibi. Bodi ya utalii nchini (KTB), iliandaa shindano hilo kwa lengo la kukuza utalii kupitia kwa michezo, hususan uendeshaji wa baisikeli.