Nyeri: wauzaji wa mavazi mazito ya kukabiliana na baridi walalamikia kuhusu biashara duni

  • | NTV Video
    321 views

    Kwa kawaida, biashara ya wauzaji wa mavazi mazito ya kukabiliana na baridi huwa na ongezeko kubwa wakati wa msimu huu. Hata hivyo, mwaka huu hali ni tofauti, kwani wauzaji wanalalamikia kushuka kwa mauzo ikilinganishwa na miaka ya awali.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya