Kina mama na wasichana wahusishwa na ufugaji katika kaunti ya Samburu

  • | Citizen TV
    171 views

    Jamii ya Wasamburu inafahamika kwa Ufugaji, ila kile kisichofahamika na wengi ni kuwa majukumu ya kuwapeleka malishoni mbuzi na kondoo yametengewa watoto wa kike na kina mama,huku Ng'ombe wakitakiwa kupelekwa malishoni na wanarika maarufu warani au wazee.