Kina mama waanzisha juhudi za kupanda miti katika kaunti ya Pokot

  • | Citizen TV
    186 views

    Kina mama katika kaunti ya pokot magharibi wanapitia dhiki wakilazimika kutembea kwa muda mrefu kutafuta maji, hii ni kufuatia uharibifu wa misitu uliosababisha mito kuanza kukauka. Kama anavyoarifu collins shitiabayi kina mama hao sasa wamejitwika jukumu la kupanda miti ili kuzuia madhara zaidi.