- 143 viewsDuration: 1:41Kina mama wajawazito katika Kaunti ya Nyandarua wamehimizwa kukumbatia lishe bora ili kuimarisha maisha yenye afya.Maafisa na wataalumu wa afya wanasema kuwa chaKula bora kinahusisha kula chakula chenye vitamini, na madini, maji mengi na pia Kuhimiza kina mama wajawazito kujihusisha na mazoezi ya kawaida ya wastani.