Skip to main content
Skip to main content

Kina mama wajawazito washauriwa kuzingatia kliniki Kakamega

  • | Citizen TV
    107 views
    Duration: 1:40
    kina mama wajawazito mia tatu wamepokea mafunzo ya afya ya akili na hata mazoezi ili kujiepusha na changamoto za kila mara. Wakizungumza kwenye hafla hiyo, iliyoandaliwa na hospitali ya Oasis mjini Kakamega, madaktari walitoa ushauri kuhusu jinsi mama mjamzito anafaa kupata lishe bora na hata kuhudhuria kliniki.