Kina mama waliojifungua wahimizwa kunyonyesha kikamilifu

  • | Citizen TV
    33 views

    Serikali, hasa wizara ya afya sasa inawasihi wanawake ambao wamepata watoto kuzingatia kanuni za kuwanyonyesha kwa miezi sita huku wakisema idadi ya wanaowanyonyesha Watoto wao hapa nchini haijafikia viwango vya kimataifa