Kinara wa Azimio atupilia mbali madai ya kuipiga marufuku biashara ya mitumba

  • | K24 Video
    140 views

    Kinara wa muungano wa Azimio-One Kenya Raila Odinga ametupilia mbali madai kwamba ananuia kuipiga marufuku biashara ya mitumba atakaposhinda kura za Agosti tisa. Kulingana na Odinga ambaye alifanya mkutano na chama cha wenye biashara Kenya , anapania kuboresha sekta ya viwanda vya humu nchini na hivyo kutengeza nafasi nyingi za ajira na kuuboresha uchumi wa taifa.