Ukosefu wa fedha Jumuiya ya Afrika Mashariki

  • | BBC Swahili
    35,960 views
    Jumuiya ya Afrika Mashariki, inakabiliwa na wakati mgumu wa ukosefu wa fedha, ikiwa baadhi ya nchi wanachama hawajaweza kutoa kiwango kinachohitajika ili kuwezesha shughuli za jumuiya hii. Kinachofanyika sasa ni vikao vya kushinikiza uwajibikaji kwa mataifa wanachama kuchangia ili shughuli za Jumuiya ziendelee Sarafina Robi anatueleza; - - #bbcswahili #tanzania#kenya #rwanda#afrikamashariki#jumuiya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw