Skip to main content
Skip to main content

Kinara wa DCP amshutumu Rais Ruto kwa kuyumbisha taifa

  • | Citizen TV
    2,079 views
    Duration: 1:48
    Viongozi wa upinzani wakiongozwa na kinara wa DCP Rigathi Gachagua na kiongozi wa Wiper Kalonzo Musyoka wamemshtumu Rais William Ruto kwa kutoa kauli zisizo na msimamo kufuatia ziara yake nchini marekani. Viongozi hao wamesema Rais Ruto amekuwa akitekeleza yale aliyokuwa akikashifu wakati wa kongamano la umoja wa mataifa, marekani na kwamba hapaswi kuaminiwa. Wakati huo huo viongozi hao wamewarai wakenya kubadili mwelekeo wa kenya debeni, kwa kujisajili kama wapiga kura katika zoezi la usajili linaloanza kesho kote nchini.