Naibu Rais Kithure Kindiki ameonekana kutafuta mwafaka na mrengo wa upinzani, akisema serikali iko tayari kufanya kazi na viongozi wote, akiwemo aliyekuwa naibu rais Kalonzo Musyoka. Akizungumza na viongozi wa mashinani kutoka kaunti ya Kitui, Kindiki alisema Kalonzo anakabiliwa na hatari ya kupoteza mwelekeo wake kisiasa iwapo ataendelea kujihusisha na viongozi aliowatuhumu kwa kueneza siasa za ukabila na migawanyiko. Huyu hapa ni ripota wetu Abdiaziz Hashim na maelezo ya taarifa hii kwa kina.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive