Skip to main content
Skip to main content

Kindiki : Leo vijana hapa Machakos watatoka na pesa ya NYOTA mfukoni, Bottom-Up tulihaidi ndio hii

  • | KBC Video
    90 views
    Duration: 2:20
    NYOTA IN MACHAKOS Naibu Rais Kithure Kindiki : Ili uchumi uwe na nguvu, lazima wananchi mashinani wawe na pesa mfukoni. Leo vijana hapa Machakos watatoka na pesa mfukoni. Hizi ni pesa za biashara ndogo ndogo, biashara za hustler. Bottom-Up tulihaidi ndio hii. #KBCniYetu