Kindiki : Niko tayari kumtafuta Kalonzo kwa ajili ya mazungumzo

  • | KBC Video
    23 views

    Naibu Rais Kithure Kindiki amesema yuko tayari kumtafuta kiongozi wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka kwa ajili ya mazungumzo na mashauriano kuhusiana na miradi ya maendeleo katika eneo la Ukambani, akisema kwamba hakuna uadui wa kisiasa baina yao. Akizungumza mjini Wote katika kaunti ya Makueni, Profesa Kindiki alisema serikali itashirikiana na viongozi wote bila kujali mirengo ya kisiasa. Kindiki pia aliahidi kufufua miradi yote iliyokwama katika eneo hilo ukiwemo ujenzi wa barabara ya Emali-Ukia RUN VCR;; Kindiki yuko katika ziara ya Ukambani akiendeleza vikao vya uhamasishaji.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive