Kiongozi wa chama cha Wiper Kalonzo amejitaja kuwa kiongozi rasmi wa upinzani

  • | Citizen TV
    2,016 views

    Kiongozi wa Wiper Kalonzo Musyoka anasema amechukua rasmi majukumu ya kiongozi wa upinzani baada ya Raila Odinga kuanza safari ya kuwania uenyekiti wa Tume ya Muungano wa Afrika. Haya yakijiri huku viongozi wa Azimio wakisema wataendeleza majukumu ya Upinzani