Skip to main content
Skip to main content

Kiongozi wa NLP atoa wito kwa IEBC kulainisha shughuli zake kabla ya uchaguzi mkuu wa 2027

  • | KBC Video
    147 views
    Duration: 2:42
    Kiongozi wa chama cha NLP Augustus Muli ametoa wito kwa tume ya uchaguzi na mipaka nchini-IEBC kulainisha shughuli zake kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka-2027. Aidha alisema ni mchakato unaohakikisha chaguzi za kuaminika pekee ambao utadumisha imani miongoni mwa wakenya. Kulingana na Muli, chama cha NLP pamoja na vyama vingine vyenye maono sawa vinashirikiana kubuni muungano thabiti utakaodumisha ushindani mkali kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka-2027. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive