Skip to main content
Skip to main content

Kipkelion: Wakazi wapinga kuhamishwa kwa Hospitali ya South Rift kutoka Londiani hadi Kericho

  • | NTV Video
    362 views
    Duration: 3:25
    Wakazi wa Kipkelion wameitaka serikali kusitisha mpango unaodaiwa kuwepo wa kuhamisha ujenzi wa Hospitali ya South Rift ya Kiwango cha VI ya Kufundishia na Rufaa kutoka Londiani hadi Kericho mjini. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya