- 66,749 viewsDuration: 1:49Sarah Baartman: Mwanamke Mwafrika Kusini aliyedanganywa, kusafirishwa Ulaya, kudhalilishwa na kudhulumiwa utu wake. Leo hii anakumbukwa kama ishara ya mapambano ya heshima ya mtu mweusi, utu, na haki. Kwa urefu wa makala hii, tembelea ukurasa wetu wa YouTube. #bbcswahili #AfrikaKusini #sarahbaartman Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw