Skip to main content
Skip to main content

Kisii: Wazazi wa watoto katika shule ya wenye Mahitaji Maalum wana hofu ya watoto wao kutoroka shule

  • | NTV Video
    382 views
    Duration: 3:37
    Katika Shule ya Kitaifa ya Watoto wenye Mahitaji Maalum ya Kisii, wazazi sasa wanaishi kwa hofu ya watoto wao kutoroka shule, baada ya Serikali ya Kaunti ya Kisii kubomoa ukuta wa shule hiyo kwa ajili ya upanuzi wa barabara. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya