Skip to main content
Skip to main content

Kisumu: Walimu wana haki ya kufanya maandamano iwapo mahitaji yao hayatashughulikiwa na serikali

  • | TV 47
    22 views
    Duration: 4:57
    "Walimu wana haki ya kupokea kile kinachostahili kutoka kwa wizara ya elimu kwa sababu wao ni nguzo kuu ya uchumi wa Kenya. Ikiwa hawatapata huduma bora, maendeleo katika sekta ya elimu hayatakuwa bora. Haki ya kufanya maandamano ni yao ili serikali iweze kuona umuhimu wao na ni njia mojawapo ya kuonyesha malalamiko na kuhamasisha hatua za kisera zinazohitajika." - Mkazi, Kisumu #TV47Matukio Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.' *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __ Connect with us: Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __