- 232 viewsDuration: 1:42Jela ya wanawake Kitui kwa ushirikiano na shirika la (Alpha)ambalo sio la kiserikali wameanzisha program mpya ya kuwasaidia watoto ambao wanzanzi wao ni wafungwa na wanakaa ndani ya jela kuwasaidia kimawazo na kujihisi kama wao ni wanakenya kama wale wengine